VIDEO: Cheki hii marriage proposal watu walivyojipanga kusuprise

Kibongo bongo hiyo suprise nahisi ingeishia kati mana ilibidi jamaa akae mkao wakukwepa glass au chupa ya kichwa.
 
Hebu tuangalie hii marriage proposal tuone kama hapa kwetu inawezekana
Ha ha ha so amazing. Hapa mtu naweza zimia walah. Kha!. Ila kastory kao katamu acha. Kamefanya siku yangu nicheke mpaka jioni
 

wengine wanalia na mengi, unadhani kazi ya kuukeshea mtalimbo ni ndogo....lazima ulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…