VIDEO: Cheki hii marriage proposal watu walivyojipanga kusuprise

VIDEO: Cheki hii marriage proposal watu walivyojipanga kusuprise

Kibongo bongo hiyo suprise nahisi ingeishia kati mana ilibidi jamaa akae mkao wakukwepa glass au chupa ya kichwa.
 
Hebu tuangalie hii marriage proposal tuone kama hapa kwetu inawezekana


Ha ha ha so amazing. Hapa mtu naweza zimia walah. Kha!. Ila kastory kao katamu acha. Kamefanya siku yangu nicheke mpaka jioni
 
Teh teh teh! Hapo kwenye kulia hata mimi huwa nashangaa, lakini nafikiria inatokana na furaha au kutokuamini kabla kama kweli itatokea hivyo. Nimeona hata siku ya ndoa watu wakilia ... Ni hisia za furaha tu, kwamba kumbe ni kweli imetokea.

Ila hizo za wazungu unaweza ku copy ukaishia kuwa disappointed!

wengine wanalia na mengi, unadhani kazi ya kuukeshea mtalimbo ni ndogo....lazima ulie
 
Back
Top Bottom