VIDEO: Chupa zikirushwa baada mzee wa "Bugaa", kuingia mitini

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm

We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.

 
Kwani huyo dogo kafanyaje??
Sio wote tupo daslam, twitter, au insta

Lete habari kamili basi.

Karushiwa chupa kisa nini??
Kaumia/kudhurika maana hiyo michupa inayopasukia jukwaani ni hatar!?
 
Ana tabia za dadaake, yaani kashindwa kupanda jukwaani kisa kakosa nguo za kupendeza!
 
Acha akapambane na manyapara huko nyuma ya nondo wamkumbushe" NO SLEEP, NO SLEEP WAKE UP!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…