mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Aug 8, 2022 #21 Wasanii wanasujudiwa na mashabiki Alafu msanii unazingua Ova
Amigoh JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 2,065 Reaction score 3,011 Aug 8, 2022 #22 political monger senior said: Yupo osterbay muda huu mjinga uyu dogo wacha wamnyooshe ajawajua vizuri wabongo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inatakiwa arudishe pesa za watu.. yani kukosa nguo ndo asiimbe na watu wamelipa pesa ndefuu.. laleq
political monger senior said: Yupo osterbay muda huu mjinga uyu dogo wacha wamnyooshe ajawajua vizuri wabongo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inatakiwa arudishe pesa za watu.. yani kukosa nguo ndo asiimbe na watu wamelipa pesa ndefuu.. laleq
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,402 Reaction score 88,872 Aug 8, 2022 #23 reymage said: Mkwe ulikuepo? Click to expand... Hapana mkwe sikuwepo.