Video clip: Huu msafara wa kijeshi ndani ya DRC ni wa nchi gani? Na unaelekea jimbo lipi?

Juu ya hayo maelezo Kuna bendera ya SA na DRC, labda SA ameamua kuingia mzima mzima labda kuihami Kinshasa lakini pia kujaribu kufanya offensive Goma.
 
Hayo magari yanachomeka kirahisi sana kwa RPG 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…