Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Asante sana, nimekuelewa na naona uko sahihiSijaelewa ila nimemuona mtu kama tulia akson halafu hapo ni misri katika pyramid
Lema yuko wapi au unamwota?Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri.
Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni
View: https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email
Ila Lema anayo?Hana hiyo hadhi waliyompa
Pumbavu wewe!!Hana hiyo hadhi waliyompa