Video: Dakika 31 za Askofu Benson Bagonza - KKKT - Dayosisi ya Karagwe akitoa maoni yake mkataba wa bandari zetu

Video: Dakika 31 za Askofu Benson Bagonza - KKKT - Dayosisi ya Karagwe akitoa maoni yake mkataba wa bandari zetu

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,270
Reaction score
2,822
Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu"

Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mb 48 famasiala nini

Ila bila shaka huyo mzee amemwaga madin.
 
Wasomi wote manguli wako upande wa wananchi!

Hili la bandali lisifanyiwe masikhala! Litamwondoa mtu kwenye kiti
 
Back
Top Bottom