VIDEO: DC Jerry Muro akimkaripia Dkt. Wilson Mahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi. Je, vetting ilifanyika kwa usahihi?

VIDEO: DC Jerry Muro akimkaripia Dkt. Wilson Mahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi. Je, vetting ilifanyika kwa usahihi?

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?

Hiyo ndio vetting aliyotaka jiwe.

Uboya wa mahera ndio uliomfanya ateuliwe kuongoza tume. Jiwe akajua sasa ataweza kuipangia tume cha kufanya na hata kuifokea.
 
Watu wengi wa awamu hii wameokotezwa tu na kupewa vyeo vikibwa. Kabudi alikuwa Sawa kusema ametolewa jalalani. Kuna wengi wanaona hivyo ndiyo maana wanskuwa wanyenyekevu.
 
Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?

Leo hii Mahera ana cheo kikubwa kuliko yeye. Cheo ni dhamana,tukitumie kwa akili.
 
Ajiamini Kama barua tu aliyiandikiwa na polepole anatetema kuisoma vipi mengine
 
Amini amini nawambia ze hegi safari ipo mwakani wamuulize Uhuru Kenyatta na waende kusoma kitabu cha Rip Mkapa alivyo nusurika no fear no
 
Anaonekana kabisa mtu wa kupelekesha tu,lakini hao ndo wanaopewa vyeo ili wapokee maelekezo toka juu tu

Aisee, mimi ndo maana sitakaa nipewe post ya maana nchi hii. sipendagi dharau za kijinga na hata kazini kwangu wanalijua hilo. Bora nikalime nyanya kuliko kuuza utu wangu kwa ajili ya kitu kinaitwa boss
 
Kigezo muhimu na nyeti anayotumia Magufuli katika kuteua ni ukanda gani unatoka, hilo ni muhimu sana kwake.

Halafu mtu kama huyu anakuja anasema eti mfumo wa majimbo utaleta ukabila na ukanda. Unafiki hauna cheo.
 
Back
Top Bottom