dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Leo hii Mahera ana cheo kikubwa kuliko yeye. Cheo ni dhamana,tukitumie kwa akili.Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?
Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?
Anaonekana kabisa mtu wa kupelekesha tu,lakini hao ndo wanaopewa vyeo ili wapokee maelekezo toka juu tu
Shithole country, Trump alikua sahihi kabisa.Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?