OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Feb 9, 2018 #1 Namkubali sana Haji Sunday Manala. Ananogesha sana mpira wa Bongo
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,172 Feb 9, 2018 #2 naye ana maneno maneno kama jamhuri kihwelu.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Feb 9, 2018 #3 Jamaa anajua kucheza na akili za mashabiki wa simba, hivi ile barua yake ya FIFA, iliishia wapi.
k majaliwa Senior Member Joined Jul 31, 2017 Posts 140 Reaction score 186 Feb 10, 2018 #4 joseph1989 said: Jamaa anajua kucheza na akili za mashabiki wa simba, hivi ile barua yake ya FIFA, iliishia wapi. Click to expand... Kwani mashabiki wa simba wana akili? Nani kakudanganya...kuongoza ligi kwao ni ubingwa tosha
joseph1989 said: Jamaa anajua kucheza na akili za mashabiki wa simba, hivi ile barua yake ya FIFA, iliishia wapi. Click to expand... Kwani mashabiki wa simba wana akili? Nani kakudanganya...kuongoza ligi kwao ni ubingwa tosha
F fama JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 740 Reaction score 436 Feb 10, 2018 #5 k majaliwa said: Kwani mashabiki wa simba wana akili? Nani kakudanganya...kuongoza ligi kwao ni ubingwa tosha Click to expand... Unaweza kuwa bingwa bila kuongoza ligi??
k majaliwa said: Kwani mashabiki wa simba wana akili? Nani kakudanganya...kuongoza ligi kwao ni ubingwa tosha Click to expand... Unaweza kuwa bingwa bila kuongoza ligi??
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Feb 11, 2018 #6 Amewashikia akili SSC.