OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Namkubali sana Haji Sunday Manala. Ananogesha sana mpira wa Bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mashabiki wa simba wana akili? Nani kakudanganya...kuongoza ligi kwao ni ubingwa toshaJamaa anajua kucheza na akili za mashabiki wa simba, hivi ile barua yake ya FIFA, iliishia wapi.
Unaweza kuwa bingwa bila kuongoza ligi??Kwani mashabiki wa simba wana akili? Nani kakudanganya...kuongoza ligi kwao ni ubingwa tosha