Video: Dereva amgonga trafiki aliyemsimamisha na kukimbia

Video: Dereva amgonga trafiki aliyemsimamisha na kukimbia

Jeshi la polisi lifanye kazi kwa busara bamba na sio jeuri na viburi

Hata hapa kwetu haya mambo yanaweza kutokea.....
 
Huyo dereva angegonga wale wanaotembea na sms, mpaka leo hii kaburi angekua amebaki mifupa.
 
Bongo ukiwa na Gari we ni tajiri...only in Tanzania
 
Back
Top Bottom