Eleza Vizuri. Mukambo ni Wapi ??? Sio Kila Mtu anajua MUKAMBO Iko Nchi Gani ??Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo.
Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd.
Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake .
Video inatisha kidogo.
Relax soma #4 hapo juu, haraka ya nini ?,google sio kila kitu utafuniweEleza Vizuri. Mukambo ni Wapi ??? Sio Kila Mtu anajua MUKAMBO Iko Nchi Gani ??
1, dereva anaweza beba mzigo wenye kemikali au sumu, halafu analala kwenye cabin, ile sumu inamuua taratibu usingizini.Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo.
Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd.
Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake .
Video inatisha kidogo.
Boda ya wapi hiyo?1, dereva anaweza beba mzigo wenye kemikali au sumu, halafu analala kwenye cabin, ile sumu inamuua taratibu usingizini.
2, dereva Kila sehemu akisimama anakula kitu, anaweza kula sumu bila kujua.
3, mmiliki wa gari ameizindika gari yake kuipa ulizi, dereva nae anaenda kujizindika kujipa ulinzi binafsi, mambo yakikutana dereva anazidiwa na kupoteza maisha.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Na zile sumu za pale ABC karibu na tazara nasikia zinaua sana wafanyakazi1, dereva anaweza beba mzigo wenye kemikali au sumu, halafu analala kwenye cabin, ile sumu inamuua taratibu usingizini.