Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili nyingiKuna mmoja pale morocco hatukushuka tulitaka tugeuke nalo maana usafiri ulikuwa wa shida wengi walipandia mwanamboka na B ili wageuke.
baada ya kugoma kushuka akatuambia anatupeleka kariakoo badala ya kimara. Aisee tulidhani anatania bwana!
Maana yake nini?Panda gari la feri - Mbagala mida ya mchana. Nenda kakae nyuma kabisa gari likiwa limejaa. Mkifika kona ya bandari mwambie Konda unashuka mivinjeni.
Usisahau kuleta mrejesho!
kweli kabisa. hata mimi ni bora unichape kibao kuliko kunitukanaBora ye aligoma mwingine angeua mtu
Tuache kudhalauliana kujifanya wewe bora kuliko mwenzako
Ahahha ni kweli temeke matusi kwa watu ni kawaida hap penyee niliko vijan na wazee wanapasuliana matus mazito hadi naona aibuAtakuwa ametokea Mkoani,mbina naona hapa Dar hata Mama anamuita Binti yake Msenge na Wazee wengine huwa nawasikia wanawaita vijana wao we msenge njoo hapa.
Naona hill neno msenge Dar ni kama neno LA kawaida,ila kule Musoma kwetu ukimwita hivyo MTU lazima jamaa akurudie na bapa la panga.
Hao wajeda zingekuwa ngumi zao zinaua wangeshaenda kujiandikisha kupigana na Mayweather wawe ma bilioneaMuwe nao makini tu mnapowatukana hivyo kwani 90% ni Wajeda ( JWTZ ) na kuna Mmoja ni Dereva wa Basi za Morocco Kivukoni huko Jeshini ametokea Kikosi cha Mabondia na anapiga zile Ngumi za Kijeshi ( za Kuua ) tu na siyo hizi za huyu Mpuuzi wenu Mandonga ambazo zake zimekaa Kikomediani zaidi.
Msije kusema sikuwaonyeni mapema.
Umesema kweli uliofichikaMuwe nao makini tu mnapowatukana hivyo kwani 90% ni Wajeda ( JWTZ ) na kuna Mmoja ni Dereva wa Basi za Morocco Kivukoni huko Jeshini ametokea Kikosi cha Mabondia na anapiga zile Ngumi za Kijeshi ( za Kuua ) tu na siyo hizi za huyu Mpuuzi wenu Mandonga ambazo zake zimekaa Kikomediani zaidi.
Msije kusema sikuwaonyeni mapema.
kwaiyo mkapelekwa kariakoo alaf mkakubali kushuka?Kuna mmoja pale morocco hatukushuka tulitaka tugeuke nalo maana usafiri ulikuwa wa shida wengi walipandia mwanamboka na B ili wageuke.
baada ya kugoma kushuka akatuambia anatupeleka kariakoo badala ya kimara. Aisee tulidhani anatania bwana!
Mi nilishukia jangwani maana ndo ilikuwa kituo cha kwanza.kwaiyo mkapelekwa kariakoo alaf mkakubali kushuka?