VIDEO: Dereva wa Mwendokasi agoma kuendesha bus akidai katukanwa

Mkurugenzi wa mwendokasi si ndo yule alokua kamishna wa TRA somebody Edwin? Sidhani kama atawashughulikia na anastress zake
 
Kuna mmoja pale morocco hatukushuka tulitaka tugeuke nalo maana usafiri ulikuwa wa shida wengi walipandia mwanamboka na B ili wageuke.
baada ya kugoma kushuka akatuambia anatupeleka kariakoo badala ya kimara. Aisee tulidhani anatania bwana!
 
Akili nyingi
 
Panda gari la feri - Mbagala mida ya mchana. Nenda kakae nyuma kabisa gari likiwa limejaa. Mkifika kona ya bandari mwambie Konda unashuka mivinjeni.

Usisahau kuleta mrejesho!
Maana yake nini?
 
Ahahha ni kweli temeke matusi kwa watu ni kawaida hap penyee niliko vijan na wazee wanapasuliana matus mazito hadi naona aibu
 
Hao wajeda zingekuwa ngumi zao zinaua wangeshaenda kujiandikisha kupigana na Mayweather wawe ma bilionea
 
Umesema kweli uliofichika
 
Kuna mmoja pale morocco hatukushuka tulitaka tugeuke nalo maana usafiri ulikuwa wa shida wengi walipandia mwanamboka na B ili wageuke.
baada ya kugoma kushuka akatuambia anatupeleka kariakoo badala ya kimara. Aisee tulidhani anatania bwana!
kwaiyo mkapelekwa kariakoo alaf mkakubali kushuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…