VIDEO: Diamond Platinumz asema music ungekuwa sauti angemsaini Wema Sepetu

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
PIA WEMA SEPETU AMSAPOTI ALIKIBA NA OMMY DIMPOZ ASEMA KAJIANDAE SONG NI WIMBO WA MWAKA..​
 
Wakuu Salaam.
Leo hii diamond kawatukana wasanii wanaojisifia sauti nzuri na kuwaweka kundi moja na x girlfriend wake wema sepenga, kweli hii Ni dharau kulinganisha wanaume na wapenzi wako Ni hatari kubwa.
 
Hawa kina diamond nyimbo zake za siku hizi mbaya hata video zile zile tu hazina jpya pamoja na mashairi, naona anautaftia kiki wimbo wa mavoko maana mubaya, plus video ya Ku copy and paste hivi huwa wanajua issue ya intellectual property kweli, aache kiki badala yake awe mubunifu.
 
naona wanatafutiana kiki wenyewe kwa wenyewe
 
Kweli kabisa yule dada ana sauti nyororooooo! Inafaa behind the scene!
 
Ha ha haaa na mimi nimebaki kuona ni hivyo kwa kweli.

Wasioelewa watafikiri ni chati kumbe bomu karusha kali lisilofaa kabisa

eeeeeh
 
Wakuu Salaam.
Leo hii diamond kawatukana wasanii wanaojisifia sauti nzuri na kuwaweka kundi moja na x girlfriend wake wema sepenga, kweli hii Ni dharau kulinganisha wanaume na wapenzi wako Ni hatari kubwa.

Acha awape wamezidi kumfatilia
 
Nadhani wewe ndiyo hujui intellectual property na copyright infringement, unless ucopy script nzima ila vipande vya video fulani kufanana na nyingine sio ishu, matter of fact Hakuna video ambayo idea yake ni mpya kabisa. Mfano kwenye video ya Aje ya Ali K pale mwanzo anapoingia kwa club kumtafuta demu naweza taja video 1000 zenye kipande kama hicho ila hakuna mtu amelalamika kwamba Kiba kacopy vivyo hivyo kwa video za Dayamondi
 
kuna muda huyu bwana akijibu huwa naona poa. Alizidi upole na yeye.
 
Naona Omari Nyembo, kaomba kipindi clouds radio ili na yeye atoe ya moyoni (from his tweeter account).

KADA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…