Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana alishinda diamond hizi tuzo mkuu.
Yaani ni kama hivi.Mwaka jana alishinda diamond hizi tuzo mkuu.
Kiba anapita alipopita diamond mkuu kama ilivyo kwa Jokate
Hii inaitwa catch upView attachment 438507
Wakuu Salaam.
Leo hii diamond kawatukana wasanii wanaojisifia sauti nzuri na kuwaweka kundi moja na x girlfriend wake wema sepenga, kweli hii Ni dharau kulinganisha wanaume na wapenzi wako Ni hatari kubwa.
Nadhani wewe ndiyo hujui intellectual property na copyright infringement, unless ucopy script nzima ila vipande vya video fulani kufanana na nyingine sio ishu, matter of fact Hakuna video ambayo idea yake ni mpya kabisa. Mfano kwenye video ya Aje ya Ali K pale mwanzo anapoingia kwa club kumtafuta demu naweza taja video 1000 zenye kipande kama hicho ila hakuna mtu amelalamika kwamba Kiba kacopy vivyo hivyo kwa video za DayamondiHawa kina diamond nyimbo zake za siku hizi mbaya hata video zile zile tu hazina jpya pamoja na mashairi, naona anautaftia kiki wimbo wa mavoko maana mubaya, plus video ya Ku copy and paste hivi huwa wanajua issue ya intellectual property kweli, aache kiki badala yake awe mubunifu.