Ungewasaidia kuwaelekeza hiyo issue ya "intellectual property".Plus video ya Ku copy and paste hivi huwa wanajua issue ya intellectual property kweli.
Anaenda Mayotte kupiga show na nyimbo zake mbaya ila wenye ubunifu mpk wapate msaada kutoka mombassHawa kina diamond nyimbo zake za siku hizi mbaya hata video zile zile tu hazina jpya pamoja na mashairi, naona anautaftia kiki wimbo wa mavoko maana mubaya, plus video ya Ku copy and paste hivi huwa wanajua issue ya intellectual property kweli, aache kiki badala yake awe mubunifu.
AMENUNUA TUZOOOOOOOOOOOOOOOOO
Kwa jokate diamond na yeye kapita tu walipopita vidume vingine au unadhani katoa bikira pale??Mwaka jana alishinda diamond hizi tuzo mkuu.
Kiba anapita alipopita diamond mkuu kama ilivyo kwa Jokate
Hii inaitwa catch upView attachment 438507
Amepanic huyo.Wakuu Salaam.
Leo hii diamond kawatukana wasanii wanaojisifia sauti nzuri na kuwaweka kundi moja na x girlfriend wake wema sepenga, kweli hii Ni dharau kulinganisha wanaume na wapenzi wako Ni hatari kubwa.