VIDEO: Diamond Platinumz asema music ungekuwa sauti angemsaini Wema Sepetu

VIDEO: Diamond Platinumz asema music ungekuwa sauti angemsaini Wema Sepetu

Hivi kuna mafao yoyote mnayopata mkiwa kwenye team fulani? Au ni kupoteza muda kushabikia wasaka hela ilhali mkibaki kuwa wasakatonge?
 
Plus video ya Ku copy and paste hivi huwa wanajua issue ya intellectual property kweli.
Ungewasaidia kuwaelekeza hiyo issue ya "intellectual property".

Af kama wana C&P mbona sijawahi kusikia walio kopiwa wakilalamika au kuwashtaki?
 
Hawa kina diamond nyimbo zake za siku hizi mbaya hata video zile zile tu hazina jpya pamoja na mashairi, naona anautaftia kiki wimbo wa mavoko maana mubaya, plus video ya Ku copy and paste hivi huwa wanajua issue ya intellectual property kweli, aache kiki badala yake awe mubunifu.
Anaenda Mayotte kupiga show na nyimbo zake mbaya ila wenye ubunifu mpk wapate msaada kutoka mombass
 
Wakuu Salaam.
Leo hii diamond kawatukana wasanii wanaojisifia sauti nzuri na kuwaweka kundi moja na x girlfriend wake wema sepenga, kweli hii Ni dharau kulinganisha wanaume na wapenzi wako Ni hatari kubwa.
Amepanic huyo.
 
Back
Top Bottom