Video: Diwani apigwa Tofali la Kichwa na wananchi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079

Nukuu ya Maandishi

"Jitihada zilishindikana. OCD alijitahidi kweli kweli na mimi kama mheshimiwa diwani nilijitahidi kweli kweli. Wananchi walikataa, 'hatutaki kumsikia wala hatutaki kumsikia Mkuu wa Wilaya, sisi tunachokitaka ni Mkuu wa Mkoa.'

Lakini kwa busara sana OCD alitoka kwenye eneo ambalo wapo wananchi akiongozana na askari kwa utaratibu sana, na mimi nikiwafuata nyuma kuwapita wale wananchi walioweka kama bariere hivi ili kuja eneo ambalo wamefungiwa wale viongozi wetu, ambalo ni hili nyuma yangu kama unaliona.

Tulpofika hatua 10 kutoka wananchi walipo ndipo hali ya hatari ilipoanza na tulirushiwa matofali bila kujali hapo ndani kuna Mheshimiwa Diwani, kuna askari, kuna kitu chochote. Hali ilikuwa mbaya sana."
 
Haya ndiyo madhara ya kujitwalia madaraka kwa nguvu. Wapigakura halisi wameanza kuonyesha makucha yao sasa.
 
Back
Top Bottom