Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC

Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM.

ANGALIA VIDEO HAPA

Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20.

Written by Mjanja M1 ✍️
 
..
Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM.

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2893036
Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20.

Written by Mjanja M1 ✍️
Ameshatangaziwa dao nono huyo kutoka usafini..
 
Dah kipindi hicho cha milazo saa saba mchana tbc fm 2009.
 
Walioanza kazi TBC 2004 wote wanafagiwa naona itakua hivyo sasa vijana vijana pashenu misuli mkazibe magepu hayo vijana msikae kizembe
 
Back
Top Bottom