britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Pote ni pema si ndo maana analazwa pemaHuko peponi kuna sehem sio pema? Hua sielewi[emoji79]
Pepon pote ni pemaHuko peponi kuna sehem sio pema? Hua sielewi[emoji79]
YesHuyu jamaa alikuwa bora sana kwenye sanaa ya uigizaji,binafsi nammiss sana,apumzike salama,Mola wetu amsamehe pale alipopungukiwa
Nitayainua macho yangu Nitazame milima aah/ msaada wangu baaba utatoka wapii????-
Naikubali sana huu wimboNitayainua macho yangu Nitazame milima aah/ msaada wangu baaba utatoka wapii????-
Hehehe wapoNimemwona Pr Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwenye video, nawaza kama msimu huu wa 2015-2020 kuna msiba wa msanii ambao utahudhuriwa na Rais.
Maana hata Bukoba eti eti haja ..., sorry yuko njiani eti anakwenda.
Akifa dogo janjaNimemwona Pr Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwenye video, nawaza kama msimu huu wa 2015-2020 kuna msiba wa msanii ambao utahudhuriwa na Rais.
Maana hata Bukoba eti eti haja ..., sorry yuko njiani eti anakwenda.
YeessNitayainua macho yangu Nitazame milima aah/ msaada wangu baaba utatoka wapii????-
HatariAlivyokuwa mzima alitukanwa akiitwa mbabaishaji asiejua kuigiza..
Watu wakatengeneza mpaka Jingle kuwa hajui kiingereza na alitutia aibu kule Big Brother.
Watu hawakuona juhudi zake....Ila baada ya kifo chake amebadilika kutoka kuonekana shetani mpaka Leo anaisifiwa kama Malaika.