Video dk 5: Hivi ndivyo taifa linakukumbuka Kanumba

Huyu jamaa alikuwa bora sana kwenye sanaa ya uigizaji,binafsi nammiss sana,apumzike salama,Mola wetu amsamehe pale alipopungukiwa
 
Nimemwona Pr Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwenye video, nawaza kama msimu huu wa 2015-2020 kuna msiba wa msanii ambao utahudhuriwa na Rais.

Maana hata Bukoba eti eti haja ..., sorry yuko njiani eti anakwenda.
 
Hehehe wapo
 
Akifa dogo janja
 
Alivyokuwa mzima alitukanwa akiitwa mbabaishaji asiejua kuigiza..

Watu wakatengeneza mpaka Jingle kuwa hajui kiingereza na alitutia aibu kule Big Brother.

Watu hawakuona juhudi zake....Ila baada ya kifo chake amebadilika kutoka kuonekana shetani mpaka Leo anaisifiwa kama Malaika.
 
Hatari
 
Back
Top Bottom