Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

Daah nimejiweka nafasi ya dogo mtolewa kafara ebanaa likiatu ni likubwa mno na linapwaya sana.

Unaona kabisa ukali wa mganga, userious wa dogo na kisu hiko apo.

Na huo kwa huo umri daah.

Ugumu wa maisha ni tatizo, tusiruhusu sana watoto kujichanganya humo mitaani, kukuzwa na mtaa kunaweza kua hatari kwa mtoto.
 
-Ufinyu wa elimu
-Malezi mabaya
-Background mbovu za familia/koo kwa kuamin kwnye mazindiko na utajiri wa ghafla
-Roho mbaya&ubinafsi
-Matatizo ya akili
-Ufuatiliaji wa filam zilizokosa maadili/above parental guidance

Hizo ni baadhi ya sababu zinasababisha haya mambo kuongezeka kizazi hiki
 
Nimefurahishwa na ndoto ya kuwa na wanawake wengi wazuri[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Madogo wa siku hizi wanataka hela za chapchap,kwa gharama yoyote. Mioyo migumu isiyo hata na chembe ya hofu ya Mungu. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom