Inaumiza sana,hatomwamini mtuHuyo victim hatokaa kwa amani tena katika maisha yake ya urafiki ni kumbukumbu mbaya sana.
malezi mabaya yanayochangiwa na umaskini hofu ya Mungu inatoweka kabisaMwisho wa video kuna jamaa anasema tatizo sio umasikini tatizo ni malezi mabaya kwa wazazi wa kizazi hiki
-Ufinyu wa elimu