Video: Donald Trump akimkejeli Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa maneno ya dharau

Video: Donald Trump akimkejeli Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa maneno ya dharau

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Trump anazidi kuprove kuwa ni mbabe sio tu kwa mataifa dhaifu bali hadi kwa mataifa strong ya wazungu wenzake
Angalia jinsi anavyomwongelea Emmanuel Macron kwa dharau
 
Ufaransa inam dis trump juu ya mpango wake wa kuitwwa greenland, ndio maana trump anamdhihaki macron
 
Back
Top Bottom