Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huu mkakati wa kusahau na kumwachia Mungu, ni mkakati mfu na hatari.Tulishamwachia Mungu yeye atajua alipe kwa wakati gani!, kumbuka kila baya na jema atendalo mtu hulipwa kwa wakati.
Maneno ya mtu mjinga wa kiwango cha rami,ulimwachia mungu wewe na nani!?Tulishamwachia Mungu yeye atajua alipe kwa wakati gani!, kumbuka kila baya na jema atendalo mtu hulipwa kwa wakati.
Jitu hilo haiyumkiniki lilishiriki mauaji hayo na sasa yanahaha kufuta ushahidiManeno ya mtu mjinga wa kiwango cha rami,ulimwachia mungu wewe na nani!?
Kuna haja Gani ya shule,mahakama ,jeshi ,magereza nk. Kama Kuna nafasi ya kumwachia Mungu,?
Tulishamwachia Mungu yeye atajua alipe kwa wakati gani!, kumbuka kila baya na jema atendalo mtu hulipwa kwa wakati.
achana na mimi jinga we!.Maneno ya mtu mjinga wa kiwango cha rami,ulimwachia mungu wewe na nani!?
Kuna haja Gani ya shule,mahakama ,jeshi ,magereza nk. Kama Kuna nafasi ya kumwachia Mungu,?
Tafadhali sana acha izo tuhuma zako!, Sipo tz mwaka wa 2 huu siuhusiki na lolote lile huko.Jitu hilo haiyumkiniki lilishiriki mauaji hayo na sasa yanahaha kufuta ushahidi
Kawadanganye watoto wadogo.Tafadhali sana acha izo tuhuma zako!, Sipo tz mwaka wa 2 huu siuhusiki na lolote lile huko.
najua maumivu yenu ila mengine ni kusahau tu yapite!,watu washachinjwa na kuzikwa kusikojulikana hatuna uwezo wa kuwarudisha tena ni kuwaombea Mungu awape pumziko salama huko waliko.Wewe ndo umemwachia Mungu. Watanzania wataendelea kuomboleza na kupaza sauti
ugua pole ila ndo ivo tena hatuna namna ya kuwarudisha tena duniani!.Kawadanganye watoto wadogo.
Huoni hasara ya roho zaidi ya 10,000 zilizozimwa na wahaini waliojiapisha.
Ukikasirika sana njoo nipige wala sikuogopi
Kesho gerson msigwa lazima afanye pressSoon DW wataipiga stop kutoa matangazo nchini.
HaitasaidiaKesho gerson msigwa lazima afanye press