Nikisema huna akili ntakuwa nakupa sifa kubwa.we ni mtu wa ajabu kweli!, nani afurahie umwagaji damu watu 10000!?, sina roho ya kigaidi kiasi hicho.
.........na uzuri malipo ni hapa hapa DunianiTulishamwachia Mungu yeye atajua alipe kwa wakati gani!, kumbuka kila baya na jema atendalo mtu hulipwa kwa wakati
Kwani huyo Mungu atashuka na kumpiga vibao Samia au vipi. Kwanini usiamini michakato kama hii ya ICC ndio Mungu anataka kutoa adhabu zake?Tulishamwachia Mungu yeye atajua alipe kwa wakati gani!, kumbuka kila baya na jema atendalo mtu hulipwa kwa wakati.
bora wewe umeeleweka kabisa mkuu!, shida kuna member wengine hapa wanataka wanichanganye kundi moja na mashetani wa CCM wakati mimi sipo huko.Kwani huyo Mungu atashuka na kumpiga vibao Samia au vipi. Kwanini usiamini michakato kama hii ya ICC ndio Mungu anataka kutoa adhabu zake?
umeshamaliza?Nikisema huna akili ntakuwa nakupa sifa kubwa.
Soma posts zako za kebehi na nimequote baadhi.
Shetani anajifunza kwako
Si uliona kuta zilivyokuwa zinatoboka.Kumbe zilitumika bunduki za kivita za Azk 47 jamani duh!! Hawa watu sio kabisa na hiyo ripoti ya jeshi la mwanza iliyovujishwa kwa DW iliwafikiaje