Video: Epuka aibu, mambo 3 usiyafanye siku ukienda gym

Video: Epuka aibu, mambo 3 usiyafanye siku ukienda gym

Right Flower

Senior Member
Joined
Jul 9, 2026
Posts
157
Reaction score
292
Wakuu igwee !

Afya ni msingi wa afya bora. Na hauwezi kuzungumzia afya bila kutaja mazoezi na mazoezi yenye ubora na viwango yanapatikana gym achana na kuruka kichura chura manyumbani kwetu.

haya hapa tunapewa angalizo la mambo ya kuepuka tukiwa gym

VIDEO:
View: https://vt.tiktok.com/ZSbt3MYW2/
 
Back
Top Bottom