Right Flower Senior Member Joined Jul 9, 2026 Posts 157 Reaction score 292 Oct 9, 2026 #1 Wakuu igwee ! Afya ni msingi wa afya bora. Na hauwezi kuzungumzia afya bila kutaja mazoezi na mazoezi yenye ubora na viwango yanapatikana gym achana na kuruka kichura chura manyumbani kwetu. haya hapa tunapewa angalizo la mambo ya kuepuka tukiwa gym VIDEO: View: https://vt.tiktok.com/ZSbt3MYW2/
Wakuu igwee ! Afya ni msingi wa afya bora. Na hauwezi kuzungumzia afya bila kutaja mazoezi na mazoezi yenye ubora na viwango yanapatikana gym achana na kuruka kichura chura manyumbani kwetu. haya hapa tunapewa angalizo la mambo ya kuepuka tukiwa gym VIDEO: View: https://vt.tiktok.com/ZSbt3MYW2/