P Payrol JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 2,286 Reaction score 3,082 Aug 17, 2018 #21 eden kimario said: Valencia aliichukua kama kichekesho cha kwenye soka tu Huyo ni nahodha wa serengeti boys na jana kacheza maana yake haikuwa faulo mbaya Click to expand... Faulo mbaya si lazima haumie, yule alirusha teke likampiga kwenye shingo thena akaenda kumkanyaga mguu afu unasema sio faulo mbaya? Ubaya wake ni kwamba yule dg alikusudia kile kitendo sema kwa vile referee alikua mbali
eden kimario said: Valencia aliichukua kama kichekesho cha kwenye soka tu Huyo ni nahodha wa serengeti boys na jana kacheza maana yake haikuwa faulo mbaya Click to expand... Faulo mbaya si lazima haumie, yule alirusha teke likampiga kwenye shingo thena akaenda kumkanyaga mguu afu unasema sio faulo mbaya? Ubaya wake ni kwamba yule dg alikusudia kile kitendo sema kwa vile referee alikua mbali