Faulo mbaya si lazima haumie, yule alirusha teke likampiga kwenye shingo thena akaenda kumkanyaga mguu afu unasema sio faulo mbaya?Valencia aliichukua kama kichekesho cha kwenye soka tu
Huyo ni nahodha wa serengeti boys na jana kacheza maana yake haikuwa faulo mbaya
Ubaya wake ni kwamba yule dg alikusudia kile kitendo sema kwa vile referee alikua mbali