Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sana mjombaYaani Mwenyekiti anapokelewa na watu kiduchu hivyo!!? Kweli Saccos imeshakufa hii.
Umeambiwa huo ni mkutano wa hadhara au mkutano wa wajumbe wa Kanda ya Serengeti?Yaani Mwenyekiti anapokelewa na watu kiduchu hivyo!!? Kweli Saccos imeshakufa hii.
Limebaki Jeshi la Polisi pekee , hebu tuwe wakweli , hivi Songolo na Shaka Hamdu ndio wa kupambana na Chadema ?Hiki chama kimeshakubalika kwa umma.
Bila ya ujanjaujanja wa CCM wangekuwa wamebaki kuwa historia
Hawana uwezo hawa. Yaani kuanzia mwenyekiti wao ni vidagaa kwa Mbowe.Limebaki Jeshi la Polisi pekee , hebu tuwe wakweli , hivi Songolo na Shaka Hamdu ndio wa kupambana na Chadema ?
Ni nchi nzima mkuu. Siyo kanda ya ziwa pekeeCHADEMA kinapendwa sana Kanda ya Ziwa
Nafahamu kawaida adui mwombe njaa,ila pia kumbuka Dua la kuku halimpati mwewe.Yaani Mwenyekiti anapokelewa na watu kiduchu hivyo!!? Kweli Saccos imeshakufa hii.
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona
Huu utapeli na wizi wa Mbowe ataacha lini yaani amtukane shujaaa wa Watanzania na ambaye ni msukuma ili yy mchaga apate umaarufu ukweli ni kwamba sisi wasukuma hatutaki wachaga matapeli kama Mbowe tutamalizana naye asituchezee huyu nyoka wa makengezaIkumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi
View attachment 1801399
Majibu anayo NdugaiMbona simuoni halima mdee hapo.
Mungu ibariki CHADEMAIkumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi
View attachment 1801399
Maigizo FCMajibu anayo Ndugai
Maigizo FCMungu ibariki CHADEMA
Ni nchi nzima mkuu. Siyo kanda ya ziwa pekee
Huu utapeli na wizi wa Mbowe ataacha lini yaani amtukane shujaaa wa Watanzania na ambaye ni msukuma ili yy mchaga apate umaarufu ukweli ni kwamba sisi wasukuma hatutaki wachaga matapeli kama Mbowe tutamalizana naye asituchezee huyu nyoka wa makengezaexpand...
Acha kuendekeza ukabila,ukanda na migawanyiko Tanzania ni yeti wote.Huu utapeli na wizi wa Mbowe ataacha lini yaani amtukane shujaaa wa Watanzania na ambaye ni msukuma ili yy mchaga apate umaarufu ukweli ni kwamba sisi wasukuma hatutaki wachaga matapeli kama Mbowe tutamalizana naye asituchezee huyu nyoka wa makengeza