Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

Huu utapeli na wizi wa Mbowe ataacha lini yaani amtukane shujaaa wa Watanzania na ambaye ni msukuma ili yy mchaga apate umaarufu ukweli ni kwamba sisi wasukuma hatutaki wachaga matapeli kama Mbowe tutamalizana naye asituchezee huyu nyoka wa makengeza
Acha ukabila mkuu. Hautakusaidia.
 
Tuleho kukaya sana Kamanda Mbowe bhebhe Nzagamba ya Shimba wa bhejana ....
 
Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi.

Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo wa mishahara ambapo ndiyo taratibu ili mikopo itolewe kwa walengwa.

Wengi walionekana kuhuzunishwa na Jambo hilo .\

Nikajiuliza, ni nini kimesababisha maafisa utumishi hao kutotoa majibu ya uhakika au wahusika kurekebisha mfumo ili wahitaji wa mikopo waweze kupata stahiki zao.

Ni majuzi tuu tuishuhudia mfumo wa Lulu au ulipaji umeme ukihujumiwa na kuzua keep kwa watumiaji umeme nchi nzima. Ambapo Baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati, na massa machache baadae tatizo likaisha.

Je, hapa Nako kuna umuhimu wa Wa Waziri Mkuu kuingilia kati ili Watumishi hawa wapate stahiki zao?
 
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi

View attachment 1801399

Mwanasiasa mahiri na anayeheshimiwa Tanzania, Mh. Freeman Aikaeli Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa chama-pendwa CHADEMA.

Kina mama kupitia BAWACHA, vijana BAVICHA na wanachama wote, siku nyingi wameonesha imani yao kwa viongozi wote wa CHADEMA na ipo siku tutakuchukua uongozi wa dola kupitia uchaguzi ulio huru na haki.

Aluta Continua CHADEMA ! Aluta Continua Freeman Mbowe, Aluta Continua Msigwa , Aluta Continua wanaCHADEMA wote !

  • Nzuri
Reactions: BAK
1622314055499.jpeg

Majibu anayo Ndugai
 
Jamani kwani Kampeni zimeanza tena. Chadema raha tupu.
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi

View attachment 1801399
 
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi

View attachment 1801399
Kwa karne hii ya 21,Ukiacha Nyerere,sokoine,kwa miaka zaidi ya 25,Mbowe ni mwanasiasa bora kuwahi kutokea hapa TZ,ni mtu mwenye ukomavu sana,kwa misuko suko yote aliyopitia,jamaa bado yupo ngangari.
Kwa mapokezi haya usukumani,ile mijamaa ya sukuma gang inatamani kufa kwa kihoro,inaona kama imesalitiwa na ndugu zao
 
Back
Top Bottom