Video fupi: Kamati kuu CCM yasema: Mahali ambapo kuna mbunge wa CCM asibughudhiwe hata kama hafanyi vizuri

Video fupi: Kamati kuu CCM yasema: Mahali ambapo kuna mbunge wa CCM asibughudhiwe hata kama hafanyi vizuri

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Polepole anasema majimbo yote yenye mbunge wa ccm hata kama hafanyi vizuri asisumbuliwe na mtu. Nafikiri watanzania tunajipeleka kwenye utawala wa ki-imla kwa kushabikia chama hiki na kuua upinzani. Bado hatujaona machungu ya kuua nguvu ya upinzani. Wenzetu walioendelea kamwe hawafanyi hivi, wanajua upinzani ni muhimu na unapaswa kuwa na nguvu. Tuwe makini>
 
Kila.siku najiuliza huyu Pole pole amepewa nini na CCM. Mbona kabadilika sana katika muda mfupi?
 
Back
Top Bottom