Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Wakuu msithubutu kufuatilizia wanaoelekeza kudial namba flan flan (code) kwa Mfano #33*0000# eti itakusaidia kufanya jambo flan kwenye simu yako.
Ushuhuda. Julie kabla ya eid Al adhaa niliangalia kwenye clip ikasema ill mtu asikupate labda hutaki usumbufu na utabaki online dial code nikazidial. Yaliyokuta hadi leo nateseka
Simu yangu na haha so handset ni line..hazipokei sms ball zinatuma tu.
Nimehangaika sijapata suluhisho hadi sasa.