Video fupifupi almaarufu kama clip mitandaoni, zinazoelekeza cha kufanya kwenye simu zetu

Shida ingine nimejaribu ku recover password yangu hadi nimeambiwa nisubiri 30 days kwa sabah nili request mara nyingi.. nifanyeje email yangu inappropriate mambo mujim can't wait 30days
View attachment 3021065
View attachment 3021067

I have important issue here can't wait now

Help please
Tumia try another way alafu chagua option ya kutuma code kwenye number ya simu, kisha utaingiza hizo namba na kutengeneza password mpya
 
gmail right ? what were you doing ? ukisema try another way inakupeleka wapi ?
Yes gmail

Inaniletea code naingiza kwenye Gmail. Inanambia critical security alert ⚠️ na kwakweli nikijarb mara nyingi.

I trying to create new password using forgot password...
Screenshot_20240620_025735_Google Play services.jpg

I tried another way...then now hata nikiweka code inanambia try again in few minutes nikirejea it keep telling me to wait in 30 days
 
Yes gmail

Inaniletea code naingiza kwenye Gmail. Inanambia critical security alert ⚠️ na kwakweli nikijarb mara nyingi.

I trying to create new password using forgot password...
View attachment 3021087
I tried another way...then now hata nikiweka code inanambia try again in few minutes nikirejea it keep telling me to wait in 30 days
Haha kama hapo na yenyewe imefail bhas huna budi kusubiri hizo siku 30 na usifanye mistake tena ya kujaribu mara nyingi nyingi.
 
Kuna uwezekano wa kurudisha picha nilizo zifuta hadi kwenye recycle bin ..kwenye Samsung ?
 
lakin akisema in 30 days not necessarily mpaka ziishe 30 days huwa ni between day 1 to 30 inclusive so hata siku ya pili tu unaweza gain access, swali la kuuliza huyu bibie ni devices ngapi zinatumia hiyo account / i mean how many devices were logged in by that account? Nadhani hapo ndio compromisation ya confidentiality , integrity na availability ya data za account yake zilipo anzia na by doing what gmail has done wanajaribu kuiprotect hiyo account.
 
Ila yeye anaona kama Gmail wanamzingua wakati wanailinda account yake🤣
 
sijui samsung unatumia ila yes inawezekana, nenda gallery kule juu kuna vidoti vitatu bonyeza, then nenda setting then nenda cloud recycle bin picha zako zitakuwa hapo utazirecover.
 
Ila yeye anaona kama Gmail wanamzingua wakati wanailinda account yake🤣
yaah, juz kuna dada tunajuana yalimtokea haya ila chanzo ilikuwa multiple loggins na device ilokuwa imelogin kwenye account yake ni simu ya jamaake, hahaha
 
lakin akisema in 30 days not necessarily mpaka ziishe 30 days huwa ni between day 1 to 30 inclusive so hata siku ya pili tu unaweza gain access, swali la kuuliza huyu bibie ni devices ngapi zinatumia hiyo account / i mean how many devices were logged in by that account? Nadhani hapo ndio compromisation ya confidentiality , integrity na availability ya data za account yake zilipo anzia na by doing what gmail has done wanajaribu kuiprotect hiyo account.
Of course pia hawajataja tarehe specific
Lkn pia kilichoniponza nilibadili password 28 days ago. Sasa haha hainiulizi niingize password ya zamani. Hii option haipo. Baada ya kufungua line yangu naweza pata sms, ambapo before sikuwa napata sms kwa namba za simu zilizokwenye email.for verification.

Nilichanganywa sana kwenye settings za password mpya nilikuwa natumia simu ambayo keyboard yake ni tofauti na simu hii sasa nilikariri tu nanilichapa paid bila umakini..huwa spendi kuandika paswd kwenye diary that's my weakness
 
pole sana
 
Back
Top Bottom