Mwanakulitafuta....Wakuu msithubutu kufuatilizia wanaoelekeza kudial namba flan flan (code) kwa Mfano #33*0000# eti itakusaidia kufanya jambo flan kwenye simu yako.
Ushuhuda. Julie kabla ya eid Al adhaa niliangalia kwenye clip ikasema ill mtu asikupate labda hutaki usumbufu na utabaki online dial code nikazidial...yaliyokuta hadi Leo nateseka
Simu yangu na haha so handset ni line..hazipokei sms ball zinatuma tu. Nimehangaika sijapata suluhisho hadi sasa.
Kilanga komo ndo hichoWakuu msithubutu kufuatilizia wanaoelekeza kudial namba flan flan (code) kwa Mfano #33*0000# eti itakusaidia kufanya jambo flan kwenye simu yako.
Ushuhuda. Julie kabla ya eid Al adhaa niliangalia kwenye clip ikasema ill mtu asikupate labda hutaki usumbufu na utabaki online dial code nikazidial...yaliyokuta hadi Leo nateseka
Simu yangu na haha so handset ni line..hazipokei sms ball zinatuma tu. Nimehangaika sijapata suluhisho hadi sasa.
#35*0000*16# try hiyo
Njoo pm nikupe code ili wasiweze kukupata tena.Imekubali thnx
Fursa πNjoo pm nikupe code ili wasiweze kukupata tena.
π
Nenda pm ukampe asante binafsi πAsante
you are welcomeImekubali thnx
Shida ingine nimejaribu ku recover password yangu hadi nimeambiwa nisubiri 30 days kwa sabah nili request mara nyingi.. nifanyeje email yangu inappropriate mambo mujim can't wait 30daysyou are welcome
gmail right ? what were you doing ? ukisema try another way inakupeleka wapi ?Shida ingine nimejaribu ku recover password yangu hadi nimeambiwa nisubiri 30 days kwa sabah nili request mara nyingi.. nifanyeje email yangu inappropriate mambo mujim can't wait 30days
View attachment 3021065
View attachment 3021067
I have important issue here can't wait now
Help please