VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

Tazama video
Na kwa namna hii nakataa kumpa kiongozi raia madaraka ya vyombo vya ulinzi na usalama nje ya wigo wake wa kazi na mipaka ya kazi yake kinyume cha sheria kwa sababu tu wewe ni rais,
kwa hiyo special forces zilikuwepo wakati sisi tunapiga yowe la wasio julikana kumbe kuna mtu alikuwa amekaa pembeni anatucheka tu, hii katiba lazima ibadirike.
 
Kabla ya kufikia huko kwenye "katiba Lazima Ibadilike", inafaa kwanza ushughulishe akili yako, na sisi sote tunaotaka iwe hivyo ni jinsi gani tutaondoa kizingiti, ambacho ni CCM, kinachopigana juu chini Katiba Isibadilike!

Hii ndiyo kazi kubwa zaidi inayotukabili sote tunaotaka mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…