njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hii para ya mwisho ni wachache watakuelewaHuyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma tungekuwa mbali sana
Wengi hawaelewi sarcasm.Hii para ya mwisho ni wachache watakuelewa
Mkuu Jamaa ni kama anawakejeli uto hapo.Hao utopolo si wanao hao wazee lkn wamefika wapi kama unawaona hao wazee bora,, na hao wazee wa simba akina kova ambao unawaona si lolote timu yao imefika wapi ukilinganisha na utopolo,,,,, yani uto utamjua tu hata akijifanya mnyama