VIDEO: General utopolo Mzee Mpili anakuambia hatuchezi hatuchezi hatucheziiii

VIDEO: General utopolo Mzee Mpili anakuambia hatuchezi hatuchezi hatucheziiii

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671


Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma tungekuwa mbali sana
 
Huyu mzee huwa anachimbaga biti sio la kitoto,unaweza sema akimpiga mtu ngumi moja tu anakufa, kumbe wapi.
 
Hao utopolo si wanao hao wazee lkn wamefika wapi kama unawaona hao wazee bora,, na hao wazee wa simba akina kova ambao unawaona si lolote timu yao imefika wapi ukilinganisha na utopolo,,,,, yani uto utamjua tu hata akijifanya mnyama
 
Wazee wa Simba kina Magori na Hans Pope wanasajili vyuma timu inaenda robo na kufika position 13 CAF. Wazee kina Kova wanasimamia nidhamu ya timu bila kuonea aibu mtu. Wale wazee kwanza ni wasomi na wana exposure kubwa serikalini. Sasa hizi Utopolo zitaniambia nini
 
Back
Top Bottom