Video: GEREZA KUU,Butimba MWANZA. Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
GEREZA KUU,Butimba MWANZA.
Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala, Tukidai reforms wanatupiga risasi na kuwauwa ndugu zetu, Wanao watumia hawaishi kwenye nyumba kama hizi Tunawakumbusha tu kuna maisha baada ya kazi.

Video imekosekana mkuu

Wewe jamaa umenikumbusha mbali kinoma yaani .
Haya bwana ,maafande basi ukiwakuta chini ya miti hapo kota wanakata ndevu utadhani wenye nchi ndiyo hawa kumbe wao ni watumwa tu
GEREZA KUU,Butimba MWANZA.
Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala, Tukidai reforms wanatupiga risasi na kuwauwa ndugu zetu, Wanao watumia hawaishi kwenye nyumba kama hizi Tunawakumbusha tu kuna maisha baada ya kazi.

View attachment 3506487
 
Hilo eneo lina taasis zingine nne za serikali zenye "kotaz" na wana nyumba nzuri siyo za tope kama hao sijui huwa wanajisikiaje!!
 
Ndio maana wanachukua hadi rushwa za shilingi elfu tatu, halafu wanalinda wezi wa mabilioni waliopo madarakani wakiamini ndio viapo vyo na uzalendo.

Very pathetic people
 
Back
Top Bottom