Video: Goal la Ellie Mpanzu linafanana na lile goli la Ronaldo D lima

Video: Goal la Ellie Mpanzu linafanana na lile goli la Ronaldo D lima

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
Goli alilofunga kiungo mshambuliaji wa club ya Simba Sports Club " Ellie Mpanzu dhidi ya Young Africans siku ya jumamosi tarehe 10 October 2026 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBCPL (Kariakoo Derby)

Linafanana na goal la Ronaldo de Lima alilofunga katika fainali za kombe la dunia dhidi ya Costa Rica mwaka 2002 nchini Japan



mshana
Kipenzi Changu
GENTAMYCINE
 
simbasctanzania_f89536b243294654b5d629d6021f1ec4.jpg

c.c Tate Mkuu
 
Goli alilofunga kiungo mshambuliaji wa club ya Simba Sports Club " Ellie Mpanzu dhidi ya Young Africans siku ya jumamosi tarehe 10 October 2026 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBCPL (Kariakoo Derby)

Linafanana na goal la Ronaldo de Lima alilofunga katika fainali za kombe la dunia dhidi ya Costa Rica mwaka 2002 nchini Japan


View attachment 3688625
mshana
Kipenzi Changu
GENTAMYCINE
Yaani kama kufika kileleni😂
 
Baada ya goli la pili nilizima tv. Kwa hiyo hata matokeo ya mwisho sikuyafuatilia. Mimi siyo Manqoba bana. Hivyo nisiulizwe au kuhusishwa kwa chochote na ile mechi.
Umesema hujaamgalia goli, lakini umesema baada ya goli la pili ulizma TV

Kufungwa kweli ni kubaya.
 
Back
Top Bottom