ok.πGoli alilofunga kiungo mshambuliaji wa club ya Simba Sports Club " Ellie Mpanzu dhidi ya Young Africans siku ya jumamosi tarehe 10 October 2026 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBCPL (Kariakoo Derby)
Linafanana na goal la Ronaldo de Lima alilofunga katika fainali za kombe la dunia dhidi ya Costa Rica mwaka 2002 nchini Japan
View attachment 3688625
mshana
Kipenzi Changu
GENTAMYCINE
Yaani kama kufika kileleniπGoli alilofunga kiungo mshambuliaji wa club ya Simba Sports Club " Ellie Mpanzu dhidi ya Young Africans siku ya jumamosi tarehe 10 October 2026 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBCPL (Kariakoo Derby)
Linafanana na goal la Ronaldo de Lima alilofunga katika fainali za kombe la dunia dhidi ya Costa Rica mwaka 2002 nchini Japan
View attachment 3688625
mshana
Kipenzi Changu
GENTAMYCINE
Tukutane wakati mwingine. Kwanza sikuliangalia hilo goli, okay?
Baada ya goli la pili nilizima tv. Kwa hiyo hata matokeo ya mwisho sikuyafuatilia. Mimi siyo Manqoba bana. Hivyo nisiulizwe au kuhusishwa kwa chochote na ile mechi.Lakini mechi uliangalia ? π π π
Sio lazima uliangalie, ila ni goli tamuTukutane wakati mwingine. Kwanza sikuliangalia hilo goli, okay?
Umesema hujaamgalia goli, lakini umesema baada ya goli la pili ulizma TVBaada ya goli la pili nilizima tv. Kwa hiyo hata matokeo ya mwisho sikuyafuatilia. Mimi siyo Manqoba bana. Hivyo nisiulizwe au kuhusishwa kwa chochote na ile mechi.