Unahisi anapata pesa Simba?Jambo lolote likiongozwa na mhindi huwa siliamini.. toka kitambo MO simuamini ni mtu fulani amejiweka hapo Simba kwa maslahi yake binausi
Kwamba Cloning imeanza fanyika Tz?Kama AI technology hivi...[emoji1]
Ila kuvujisha video kama hii sio mchongoUungwana ni vitendo na hivyo ndio vitendo vyenyewe sheikh
Aliteleza domo kwa kujiaminisha kuwa siri yake ipo salama.Hii Dunia ya sasa inahitaji umakini wa hali ya juu sana hasa unapoongelea masuala nyeti,
Trust no one.
Huwaga mie simwamini Haji hata kidogo kama aliweza kuacha mke sembuse timuUnahisi anapata pesa Simba?
Wewe una mchango gani Simba?
Ina fikirisha kidogaMnamjua Haji Manara lakini?[emoji16][emoji16]
Kumbe wanajamiiforums wengi weupe kwenye propaganda.
Iko hivi; kuna uwezekano mkubwa Haji Manara kavujisha hii makusudi baada ya kuona hana ushawishi huko Yanga.
Anataka kuwaaminisha uongozi wa Simba sc kuwa yeye ni mzalendo japo hayupo klabuni ila ana mapenzi ya dhati. Anataka wamrejeshe unyamani.
Nb: Manara ni shabiki halali na mwanachama wa SIMBA SC ila tu maslahi yanampa shida.
Kizuri cha maboss wa yanga wanajua kutumia hela zao, haji manara inajulikana ni mwanasimba ila GSM walimuajiri tu kama kejeli kwa SIMBA sababu angeenda timu nyingine ingezidi kuwa shida tu. Na hio ikafanya Manara ale matapishi yake, sasa baada ya hii clip simba nao wanaelekea kula matapishi yao, af sie tunawacheka tuUzuri karibia mashabiki wa Yanga tulitambua tangu mwanzo ya kwamba ni njaa ndiyo iliyo mleta Yanga!
Lakini pia uongozi wa Yanga ulitaka tu kumlambisha yale matapishi yake ya matusi na kejeli alizotufanyia, kama walivyofanya kwa yule mpuuzi mwenzake Bernard Morrison.
Kwamba Cloning imeanza fanyika Tz?
Hatujafikia huo uwezo
Tunachoshukuru yanga inazd kuwa juu siku baada ya sikuInawezekana huwa anachekea chooni Yanga ikipopolewa.
Tunachoshukuru yanga inazd kuwa juu siku baada ya siku
mbona kama kalewaAongea kwa uchungu sana kuhusu timu yake, amedhihirisha kuwa unaweza kuhama dini lakini sio timu unayoipenda.
Msikilize
View attachment 2632691