Video: Haji Manara achukizwa na haya yanayoendelea Simba SC

Video: Haji Manara achukizwa na haya yanayoendelea Simba SC

Hii Dunia ya sasa inahitaji umakini wa hali ya juu sana hasa unapoongelea masuala nyeti,
Trust no one.
Aliteleza domo kwa kujiaminisha kuwa siri yake ipo salama.

Na huwenda ilikuwa ni clip ya muda mrefu ila hapa katikati kumetokea mgogoro baina yake na huyo mtu.

Huyo mtu ameamua kutumia silaha hii kumuadhibu Manara
 
Mnamjua Haji Manara lakini?[emoji16][emoji16]
Kumbe wanajamiiforums wengi weupe kwenye propaganda.

Iko hivi; kuna uwezekano mkubwa Haji Manara kavujisha hii makusudi baada ya kuona hana ushawishi huko Yanga.

Anataka kuwaaminisha uongozi wa Simba sc kuwa yeye ni mzalendo japo hayupo klabuni ila ana mapenzi ya dhati. Anataka wamrejeshe unyamani.

Nb: Manara ni shabiki halali na mwanachama wa SIMBA SC ila tu maslahi yanampa shida.
Ina fikirisha kidoga
 
haji kaongea ukweli mtupu, simba ina uhuni kupitiliza... nafikiri ndio sababu yule dada aliamua kuondoka!
timu inaendeshwa kiswahili mno, mipango mingi kama serikali yetu, utekelezaji sufuri
 
Uzuri karibia mashabiki wa Yanga tulitambua tangu mwanzo ya kwamba ni njaa ndiyo iliyo mleta Yanga!

Lakini pia uongozi wa Yanga ulitaka tu kumlambisha yale matapishi yake ya matusi na kejeli alizotufanyia, kama walivyofanya kwa yule mpuuzi mwenzake Bernard Morrison.
Kizuri cha maboss wa yanga wanajua kutumia hela zao, haji manara inajulikana ni mwanasimba ila GSM walimuajiri tu kama kejeli kwa SIMBA sababu angeenda timu nyingine ingezidi kuwa shida tu. Na hio ikafanya Manara ale matapishi yake, sasa baada ya hii clip simba nao wanaelekea kula matapishi yao, af sie tunawacheka tu
 
Tunachoshukuru yanga inazd kuwa juu siku baada ya siku

Yes, Ni lazima tushukuru kufikia hiyo namba 395 si haba​

Africa Football / Soccer Clubs Ranking​

Updated after matches played on 21 May 2023​

RankClub / CountryPoints1-yr change
351
Berekum Arsenal

Ghana
12609
1260
352
Kiglon

Zimbabwe
126010
1260
353
Saint George

Ethiopia
126011
1260
354
Njube Sundowns

Zimbabwe
125914
1259
355
El Raja

Egypt
125913
1259
356
Accra Lions FC

Ghana
1259272
1245
357
AS-FAN

Niger
125911
1259
358
Black Rhinos

Zimbabwe
125993
1266
359
KAC Kénitra

Morocco
125810
1258
360
Hasaacas

Ghana
12589
1258
361
Gabès

Tunisia
125810
1258
362
NAPSA Stars FC

Zambia
1258441
1232
363
Al Sharkeyah

Egypt
125711
1257
364
AS Bamako

Mali
125711
1257
365
Eleven Wonders FC

Ghana
125766
1254
366
Liga Muçulmana

Mozambique
125710
1257
367
J.S. Groupe Bazano

Denmark
1257118
1250
368
Inter Allies FC

Ghana
12579
1257
369
Yobe Desert Stars

Nigeria
12568
1256
370
Ocean Pacifique

Denmark
12565
1256
371
Forest Rangers

Zambia
1255355
1236
372
Amidaus Professionals FC

Ghana
12551
1255
373
CS Hammam-Lif

Tunisia
12551
1255
374
Aswan FC

Egypt
1255393
1233
375
Gaborone United

Botswana
12552
1255
376
Alamal Atbara

Sudan
125517
1256
377
Ittihad Zemouri de Khemisset

Morocco
12552
1255
378
CA Batna

Algeria
12551
1255
379
Teungueth FC

Senegal
12550
1255
380
El Mansura

Egypt
12540
1254
381
Crown FC

Nigeria
12542
1254
382
Nkoyi Bilombe

Denmark
12542
1254
383
RC Relizane

Algeria
1254172
1267
384
Sahel

Niger
12543
1254
385
EO Sidi Bouzid

Tunisia
1254301
1277
386
Likasi

Congo DR
12545
1254
387
Canon Buromeca

Congo DR
12534
1253
388
Scorpion FC de Bé

Cameroon
12535
1253
389
Nchanga Rangers

Zambia
1253175
1265
390
El Minya

Egypt
12532
1253
391
Merreikh Nyala

Sudan
12531
1253
392
USGN

Niger
12522
1252
393
Lys Sassandra

Ivory Coast
1252251
1241
394
Zimbabwe Saints

Zimbabwe
12520
1252
395
Young Africans

Tanzania
12520
1252
396
PA Sambizanga

Angola
1252135
1246
397
Cosmos de Bafia

Cameroon
12521
1252
398
Ghazl El Mehalla

Egypt
12516
1251
399
Ibanda Sport

Congo DR
12514
1251
400
AS Police

Mali
12515
1251
 
Haji yuko Yanga kikazi lakini moyo wake uko Simba ndiyo maana wana Yanga wote makini hawamkubali kuwa mwenzao
 
Hakuna mpenzi wa mpira anaanza kushabikia timu akiwa na umri wa zaidi ya miaka 40.
 
Back
Top Bottom