N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Jul 24, 2022 #1 Katika muendeelezo wa series ya Haji VS HAJI mtifuano ni mkali unaendelea, sijui ni episode ya ngapi hii
Katika muendeelezo wa series ya Haji VS HAJI mtifuano ni mkali unaendelea, sijui ni episode ya ngapi hii
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,525 Jul 24, 2022 #2 shida ni kwamba video zake akiwa Simba anatoa shombo kwa Utopolo zipo nyingi sana zenye kujibu hoja zake za sasa akiwa Utopoloni huko.
shida ni kwamba video zake akiwa Simba anatoa shombo kwa Utopolo zipo nyingi sana zenye kujibu hoja zake za sasa akiwa Utopoloni huko.
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Jul 24, 2022 Thread starter #3 Waminyato said: shida ni kwamba video zake akiwa Simba anatoa shombo kwa Utopolo zipo nyingi sana zenye kujibu hoja zake za sasa akiwa Utopoloni huko. Click to expand... tamthilia kali sana hii sema kwa sasa lazima wana yanga wampiganie sababu ni mfia team kindakindaki
Waminyato said: shida ni kwamba video zake akiwa Simba anatoa shombo kwa Utopolo zipo nyingi sana zenye kujibu hoja zake za sasa akiwa Utopoloni huko. Click to expand... tamthilia kali sana hii sema kwa sasa lazima wana yanga wampiganie sababu ni mfia team kindakindaki
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jul 25, 2022 #4 Uzi mbona hauna wachangiaji? Yanga hwapo kumtetea Le mr waiti?