Video: Haji Manara ana hali mbaya sana; anafuta kukubalika kwa kila namna

Video: Haji Manara ana hali mbaya sana; anafuta kukubalika kwa kila namna

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Jamaa ana hali mbaya sana. Akitafuta kukubalika kwa kila namna. Ana wakati mgumu sana.

IMG-20210908-WA0063~2.jpg

 
Bado siku nne taifa liingie kwenye aibu, acha waendelee kuuza jezi na kupiga porojo kwenye media
 
White ana wiki 3 tu

Wanaijeria wakishamaliza jambo lao na sisi tukifanya letu tarehe 25 White ndio atakuwa mtu wa kwanza kugeukiwa na mashabiki wao.

Muda huo Wanasimba tusikose popcon, tutainjoy sana hiyo tamthilia ya comedy inayokuja
 
Kwa sasa kila mwanasimba ni msemaji wa Simba.Manara mmoja anasumbua wasemaji zaidi ya 6M hahaha
Sio Kweli. Yanga Kuna Kijiji cha Wasemaji Kuna Bimbuli, Manara. Simba Yupo Ezekiel tu mbele Ya Kamera kama Msemaji.
 
Kwa sasa mshindi ni simba ila Kinachotakiwa ni simba isifungwe na yanga, ikifungwa manara mtamchukia😀
 
Back
Top Bottom