VIDEO: Hali ya usafiri usiku huu, foleni kutoka Tabata Relini hadi Barakuda, kuelekea Segerea

VIDEO: Hali ya usafiri usiku huu, foleni kutoka Tabata Relini hadi Barakuda, kuelekea Segerea

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Sio poa kabisa Wakuu, leo nimekiona cha Mtemakuni!

Hali ya usafiri usiku huu inazidi kuwa ngumu kuanzia Tabata Relini, ambapo foleni ya magari ni ndefu hadi Barakuda.


 
hii njia n kiboko sinaga hamu nayo nltoka segerea saa 2 nmefika mwenge saa 6 usiku 🥲🥲
 
Nikikumbuka nilitoka saa moja segerea kwenda hapo njia panda ya chuo mpk saa nne sijafika! Na kesho yake nisafiri nilichoka aseeh
 
Mkuu sababu ni mnada pale barakuda na daladala zinaovertake zinablock gari za upande mwingine ukivuka hapo barakuda huku mbele gari zinatembea tu
 
Huku upande wa Ubaya Ubaya kutokea Bima barabara ikoje?
 
Nahisi Dar kuna tatizo leo. Hata Pugu Road ilikuwa na foleni kubwa sana kutoka mjini kuelekea Goms.
 
Mkuu sababu ni mnada pale barakuda na daladala zinaovertake zinablock gari za upande mwingine ukivuka hapo barakuda huku mbele gari zinatembea tu
Miaka 60 ya uhuru hakuna maeneo ya wazi ya kuweka minada, watu wanapanga bidhaa barabarani, Barakuda, Boko nk hua nikipita siku za minada naumia sana kuona mambo shaghala bagala sana na watu kupanga vitu chini.

Barabara ya Tabata ni nyembamba sana, haina feeder roads za kueleweka, njia ni moja ile ile, same na Barabara ya Goba kupitia Makongo.

Hii nchi imeharibiwa sana na vegetables .
 
Hizi barabara hasa hii na ya kuelekea kawe inabidi zipanuliwe sasa maana idadi ya watu na makazi imeshongezeka.
 
Tatizo manaukimbia mji mnawaachia wahindi nyie mnaenda kuishi nje ya mji.

Mjini kati saa 12 hakuna magari, tubadilishe makazi yetu.
 
Back
Top Bottom