VIDEO: Hali ya usafiri usiku huu, foleni kutoka Tabata Relini hadi Barakuda, kuelekea Segerea

VIDEO: Hali ya usafiri usiku huu, foleni kutoka Tabata Relini hadi Barakuda, kuelekea Segerea

Tatizo manaukimbia mji mnawaachia wahindi nyie manaenda kuishi nje ya mji.

Mjini kati saa 12 hakuna magari, tubadilishe makazi yetu.
Kuna siku nimetoka zangu Kahama saa 12 jioni nipo mbezi safari ilikuwa ya kuelekea chanika aisee nilikatiza korogwe pale kwenda Kwa mkua nikaja kutokea mabibo hilo fole pale Mandela road Hadi Nyerere road nilijuta Hadi nafika chanika saa 8 usiku
 
Back
Top Bottom